top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

2 Februari 2026, 09:00:26

Agnosia

Agnosia

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Agnosia" au "Upungufu wa utambuzi wa hisia"


Kuna aina maalum za agnosia, ambazo hutumika kwa maneno yafuatayo;

  • Agnosia ya kusikia

  • Agnosia ya kuona

  • Agnosia ya mguso

  • Anosmia 

  • Anosognosia


Agnosia husababishwa na vidonda (majeraha)vinavyoathiri maeneo ya ushirikiano kwenye Koteksi hisia ya parietali. Ni tatizo linaloweza kutokea baada ya mtu kupata kiharusi.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 10:44:32

bottom of page