top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 14:21:45

Agrafia ya Tahajia

Agrafia ya Tahajia

Agrafia ya tahajia hufahamika kwa lugha nyingine kama ni aina ya agrafia inayojitokeza pale ambapo mtu hushindwa kuandika maneno kwa tahajia sahihi licha ya kuwa na uwezo wa kushika kalamu na kupanga sentensi. Katika hali hii, tatizo liko kwenye mifumo ya ubongo inayohusika na kumbukumbu ya maneno, sauti za lugha, na uhusiano kati ya sauti na maandishi, na si kwenye nguvu ya misuli au uelewa wa jumla wa lugha.

Imeandikwa:

6 Februari 2026, 14:21:45

bottom of page