top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Februari 2026, 09:02:11
Agraphia
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Agrafia"
Agrafia ni hali ya kiafya ambapo mtu hashindwa kueleza mawazo yake kwa maandishi, licha ya kuwa na uwezo wa kuona na kudhibiti misuli ya mikono.Hali hii mara nyingi hutokea baada ya kiharusi au matatizo ya ubongo yanayoathiri sehemu zinazohusika na maandishi na lugha.
Imeandikwa:
26 Machi 2025, 14:53:09
bottom of page
