top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Februari 2026, 09:21:46

Amnesia
Ni neno tiba lenye jina jingine la kiswahili la Amnizia
Amnezia ni hali ya kiafya ambapo mtu hupoteza uwezo wa kukumbuka habari au matukio fulani ya maisha, licha ya kuwa akili nyingine kama kuzungumza na kuelewa haijathirika.
Hali hii inaweza kuwa ya mpito au ya kudumu.
Mara nyingi hutokea kutokana na majeraha ya ubongo, ugonjwa, au mfadhaiko mkali wa kisaikolojia.
Imeandikwa:
23 Machi 2025, 08:45:16
bottom of page
