top of page

Amnizia

Mwandishi:

ULY CLINIC

15 Juni 2021 12:43:30

Amnizia

Amnizia ni mvurugiko au upotevu wa kumbukumbu, inaweza kuwa sehemu tu au kumbukumbu zote na pia inaweza kuwa kumbukumbu zilizopita au zijazo.


Kumbukumbu zilizopita huashiria kumbukumbu ya mambo ambayo yalishatokea siku za nyuma kabla ya kutokea kwa majeraha au ugonjwa na Kumbukumbu zijazo huashiria kumbukumbu ya mambo ambayo yameshatokea baada ya majeraha au au ugonjwa. Ikitegemea kisababishi cha amnizia, upotevu wa kumbukumbu unaweza kuwa wa ghafla au taratibu na wa mpito au endelevu.


Matamshi


Amnizia hutamkwa kama 'aah- mmmni-zia'

Imeboreshwa,

13 Novemba 2021 13:50:05

bottom of page