top of page

Amnizia ya kweli

Mwandishi:

ULY CLINIC

15 Juni 2021 12:45:57

Amnizia ya kweli

Amnizia ya kweli ni nini?


Amnizia ya kweli ni upotevu wa kumbukumbu unaotokana na madhaifu ya ufanyaji kazi wa ubongo wa temporo, sifa mojawapo ya amnizia hii ni kubaki na mabaki ya kumbukumbu


Dalili hii huonekana sana kwa wagonjwa wenye degedege na waliopata majeraha kichwani na pia ni ishara ya awali ya ugonjwa wa Alzheimer

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 14:23:09

bottom of page