top of page

Amnizia ya tiba

Mwandishi:

ULY CLINIC

15 Juni 2021 12:47:51

Amnizia ya tiba

Amnizia ya tiba ni nini?


Amnizia ya tiba ni upotevu wa kumbukumbu kutokana na matumizi ya dawa aina fulani. Endapo umepoteza kumbukumbu kutokanana matibabu, upotevu wa kumbukumbu huo ni wa mpito.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:20:51

bottom of page