top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

1 Februari 2026, 14:45:35

Anabolism

Anabolism ni nini?

Anabolism ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Anabolizimu ambapo ni sehemu ya mchakato wa umetaboli inayohusika na ujengaji wa kampaundi au molekyuli kubwa kutoka molekyuli ndogo.Katika hatua hii, mwili hutumia nishati ili:

  • Kujenga molekyuli kama glukosi (sukari)

  • Kutengeneza protini kutoka kwenye asidi amino

  • Kutengeneza mafuta kutoka vipande vidogo

  • Kukuza na kutengeneza tishu za mwili kama misuli na ngozi


Anabolizimu ni muhimu kwa ukuaji, urekebishaji wa tishu, na uhifadhi wa nishati katika miundo mikubwa.

Imeandikwa:

1 Februari 2026, 14:45:35

bottom of page