top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Februari 2026, 08:08:38

Anosmia

Anosmia

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Kupoteza hisia ya harufu"


Anosmia ni hali ya kiafya ambapo mtu hupoteza uwezo wa kutambua harufu kabisa. Inaweza kuwa ya muda au ya kudumu, na inaweza kusababishwa na maambukizi ya njia ya hewa ya juu, mzio, matatizo ya pua na sinasi, au matatizo ya mfumo wa fahamu unaohusika na hisia ya harufu.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 13:49:41

bottom of page