top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Februari 2026, 08:18:39

Anosognosia

Anosognosia

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Kutotambua Ugonjwa" "Anosognosia"


Anosognosia ni hali ya kitabibu ambapo mtu hakubali, hatambui, au hana ufahamu kwamba ana ugonjwa, ulemavu hasa kupooza, au tatizo fulani la kiafya. Mara nyingi hutokea katika matatizo ya mfumo wa fahamu, ikiwa ni pamoja na kupooza upande mmoja wa mwili, baadhi ya matatizo ya akili, au majeraha ya ubongo. Mtu anaweza kuonekana kama anakataa kwa makusudi, lakini kwa kawaida ni kutokuwepo kwa uwezo wa kutambua tatizo, si kukataa kimakusudi.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 15:01:40

bottom of page