top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Februari 2026, 08:26:13

Anterograde amnesia
Anterograde amnesia ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Kutotunza kumbukumbu mpya" lenye maana ya aina ya upotevu wa kumbukumbu ambapo mtu hushindwa kuunda au kuhifadhi kumbukumbu mpya baada ya tukio lililosababisha tatizo, kama jeraha la ubongo, ugonjwa wa mfumo wa fahamu, au madhara ya baadhi ya dawa. Kumbukumbu za zamani mara nyingi hubaki, lakini maelezo mapya, matukio mapya, au taarifa mpya hazihifadhiwi vizuri. Hali hii inahusiana na matatizo katika sehemu za ubongo zinazodhibiti kujifunza na kuhifadhi kumbukumbu, hususan hippocampus(hipokampasi).
Imeandikwa:
23 Machi 2025, 11:45:16
bottom of page
