top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Februari 2026, 08:34:19

Antigen

Antigen

Ni neno tiba lenye jina jingine la Antijeni


Antijeni ni molekuli ya protini au muundo wa kigeni (kama vile kirusi, bakteria, fangasi, sumu au chembe nyingine) ambayo inapogunduliwa na mwili, huchochea mfumo wa kinga kuzalisha antibodi au kuanzisha majibu mengine ya kinga.Kila aina ya kimelea huwa na protini za kipekee kwenye uso wake zinazotambulishwa kama antijeni, ambazo hutumiwa na mwili kutofautisha kati ya “kimelea” na “sehemu ya mwili.”

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 11:45:16

bottom of page