top of page

Antijeni

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 20:52:44

Antijeni

Antijeni ni nini?


Ni protini yenye uwezo wa kuamsha mfumo wa kinga ya mwili kuzalisha antibodi.


Inaweza kuwa sumu, kirusi, bakteria n.k ambavyo ni vigeni kwenye mfumo wa damu. Kila kimelea ametenegenezwa na protini katika mwili wake ambazo zinamtambulisha kwenye mfumo wa kinga ya mwili, naam hata viini vingine pia.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:22:08

bottom of page