top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 17:36:27

Aortic aneurism

Aortic aneurism

Aortic aneurism ni neno tiba lenye jina la kiswahili la anyurizimu ya Aota. Anyurizimu ya aota ni hali ya kitabibu inayohusisha kupanuka au kudhoofika kwa ukuta wa mshipa mkubwa wa damu unaotoka moyoni (Aota). Upanuzi huu hutokea pale ukuta wa aota unapopoteza uimara wake, na kusababisha hatari ya kupasuka kwa mshipa huo. Hali hii inaweza kutokea kwenye aota ya kifua au aota ya tumbo, na mara nyingi huendelea bila dalili za mapema.

Imeandikwa:

23 Machi 2025, 11:45:16

bottom of page