top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 17:34:54

Aphonia

Aphonia

Aphonia ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Afonia" au "Kukosa uwezo wa kutoa sauti"


Afonia ni hali ya kitabibu inayohusisha kushindwa kabisa au karibu kabisa kutoa sauti wakati wa kuzungumza, licha ya mtu kuwa na uwezo wa kupumua na kujaribu kuzungumza. Hali hii hutokea pale ambapo nyuzi sauti au mifumo inayodhibiti utoaji wa sauti imeathirika. Sababu zake zinaweza kuwa matumizi kupita kiasi ya nyuzi sauti, magonjwa ya koromeo au mishipa ya laringo (laryngeal), matatizo ya kisaikolojia, au mkakamao wa misuli ya sauti, hali inayozuia mtikisiko wa kawaida wa nyuzi sauti.

Imeandikwa:

26 Machi 2025, 18:39:32

bottom of page