top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 18:08:01

Arroyo’s sign

Arroyo’s sign

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Ishara ya Arroyo"


Ishara ya Arroyo ni dalili ya kitabibu inayohusisha kuchelewa kwa kujikaza (kusinyaa) au kupanuka kwa mboni za macho (pupili) katika mwitikio wa mabadiliko ya mwanga. Katika hali hii, mboni haziitiki kwa haraka kama inavyotarajiwa, jambo linaloweza kusababisha hisia kali kwa mwanga (photophobia), hasa pale ambapo kujikaza kwa mboni kunachelewa.


Ishara hii huhusishwa zaidi na upungufu wa homoni za tezi za adreno (Kutojitosheleza kwa adreno).

Imeandikwa:

27 Machi 2025, 10:20:39

bottom of page