top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Februari 2026, 18:07:11
Aspiration of a foreign body
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Aspiresheni ya kitu kigeni" ambapo ni hali ya kitabibu inayotokea pale ambapo kitu kisicho cha kawaida kama chakula, mate, kimiminika, au kitu kigumu huingia kwenye njia ya hewa (trakea au bronkai) badala ya kupita kwenye umio kuelekea tumboni. Hali hii hutokea kutokana na kushindwa kwa mifumo ya kinga ya kumeza kufanya kazi ipasavyo, na inaweza kusababisha kuziba kwa njia ya hewa, maambukizi ya mapafu (aspiration pneumonia), au matatizo makubwa ya kupumua.
Imeandikwa:
25 Machi 2025, 09:49:00
bottom of page
