top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

6 Februari 2026, 18:05:40

Astereognosis

Astereognosis

Astereognosis ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Agnosia ya mguso" au "Astereognosisia"


Agnosia ya mguso ni aina ya agnosia inayohusisha kushindwa kutambua au kutofautisha vitu kwa kutumia mguso pekee, hata kama nguvu ya kugusa, joto, maumivu, na mwendo wa vidole bado ni ya kawaida.


Tatizo hili husababishwa na uharibifu wa maeneo ya ubongo yanayohusika na uchakataji wa taarifa za mguso (hasa kwenye gamba la ubongo la parietal), hivyo ubongo hushindwa kuunganisha hisia za mguso na kumbukumbu ya umbo, ukubwa, na matumizi ya kitu.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 13:48:06

bottom of page