top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
7 Februari 2026, 04:36:11
Atrophy
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Atrofia"
Atrofia ni hali ya kitabibu inayohusisha kupungua kwa ukubwa, uzito, au uwezo wa kufanya kazi wa kiungo, tishu, au seli za mwili, kutokana na kupungua kwa matumizi, lishe, msukumo wa neva, homoni, au magonjwa fulani. Atrofia hutokana na mabadiliko ya kifizikia na kimuundo katika seli, bila lazima kuwepo kwa uharibifu wa papo hapo au maambukizi.
Imeandikwa:
27 Machi 2025, 08:34:23
bottom of page
