top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
7 Februari 2026, 05:05:20

Autoimmune
Autoimmune ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Autoimuni" au "Kujishambulia kwa kingamwili"Â ni hali ya kitabibu ambapo mfumo wa kinga ya mwili, unaojumuisha seli za kinga na kingamwili, hushindwa kutambua tofauti kati ya seli za mwili na vimelea vya nje. Kutokana na hitilafu hii, kingamwili huanza kushambulia tishu au viungo vya mwili wenyewe, na kusababisha uharibifu wa muda au wa kudumu.
Autoimuni si ugonjwa mmoja, bali ni kundi la hali na magonjwa yanayotokana na kujishambulia kwa kingamwili.
Imeandikwa:
23 Machi 2025, 11:45:16
bottom of page
