top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

7 Februari 2026, 05:15:58

Autotopagnosia

Autotopagnosia

Autotopagnosia ni neno tiba lenye jina la Kiswahili la "Agnozia ya sehemu za mwili" 


Agnozia ya sehemu za mwili ni aina ya agnozia ya neva inayotokea pale ambapo mtu hushindwa kutambua, kuonyesha, au kutaja sehemu za mwili wake mwenyewe au za mtu mwingine, licha ya kuwa na hisia za mguso, uwezo wa kuona, na ufahamu wa jumla uliohifadhiwa. Hali hii hutokana na uharibifu wa maeneo maalumu ya ubongo yanayohusika na ramani ya mwili, hasa katika sehemu za parietali.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 15:00:39

bottom of page