top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

BID kirefu chake ni nini?

BID kirefu chake ni nini?

BID ni kifupisho cha neno la Kilatin "bis in die" lenye maana ya 'mara mbili kwa siku' yaani kila baada ya masaa 12.


Kifupisho kingine kinachotumika kama BID

Kifupisho 'b.i.d' au 'bid' , 'BID' na 'BD' huandikwa kwenye cheti cha dawa na humaanisha "bis in die" yaani mara mbili kila siku kama mbadala wa BID.

Katika tiba inapoandikwa dawa itumike mara mbili kwa siku huwa na maana ya kutumika kila baada ya masaa 12 kupita.

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page