top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
16 Februari 2026, 07:33:00

Brain stem
Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "Shina la ubongo"
Shina la ubongo ni sehemu ya chini ya ubongo inayounganisha ubongo na uti wa mgongo. Lina jukumu muhimu katika kudhibiti kazi za msingi za mwili kama kupumua, mpigo wa moyo, na uratibu wa harakati.
Imeandikwa:
30 Machi 2025, 13:24:14
bottom of page
