top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

16 Februari 2026, 07:33:23

Brain stem ischemia

Brain stem ischemia

Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "Iskemia ya shina la ubongo"


Iskemia ya shina la ubongo

Iskemia ya shina la ubongo husababisha kizunguzungu mzunguko cha ghafla na kikali, ambacho kinaweza kutokea kwa vipindi na baadaye kuwa cha kudumu. Dalili zinazoweza kuambatana na hali hii ni pamoja na:

  • Kupoteza uratibu wa mwili

  • Kichefuchefu na kutapika

  • Shinikizo la damu kuongezeka

  • Mapigo ya moyo kwenda haraka

  • Kutetemeka kwa macho bila hiari

  • Macho kuegemea upande wa jeraha

  • Kupooza upande mmoja wa mwili

  • Hisia zisizo za kawaida kama kufa ganzi au kuwashwa


Ischemia ya shina la ubongo ni hali hatari inayohitaji matibabu ya haraka ili kuzuia madhara makubwa zaidi.

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 13:05:16

bottom of page