top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
1 Februari 2026, 18:09:07
Braxton Hicks
Braxton Hicks contractions hufahamika kwa kiswahili kama Mikazo ya Braxton ambayo ni ni mikazo ya kizazi inayotokea wakati wa ujauzito kama sehemu ya maandalizi ya mwili kwa ajili ya uchungu wa uzazi. Ni mikazo isiyo na mpangilio maalumu, ambayo haipelekei mabadiliko ya mlango wa kizazi, na mara nyingi hupungua au kubadilika tabia kulingana na hali ya mwili.
Mikazo hii ni sehemu ya mchakato wa kawaida wa ujauzito na haichukuliwi kama ishara ya kuanza kwa mchango wa uzazi.
Imeandikwa:
1 Februari 2026, 18:09:07
bottom of page
