top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

25 Machi 2025, 10:04:35

Bronchiectasis

Bronchiectasis

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Upanuzi sugu wa bronkai" au "Bronkioktasisi"


Hii ni hali ya kupanuka na kuharibika kwa bronkai (njia za hewa za ndani ya mapafu), jambo linalosababisha kuzalishwa kwa makohozi mengi na maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya hewa.

Imeandikwa:

25 Machi 2025, 10:04:35

bottom of page