top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
caps ni kirefu cha nini?
caps ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘Capsule’ yenye maana ya ‘tembe’
Katika tiba endapo dawa itaandikwa caps humaanisha dawa inayotumika iwe tembe na si kidonge.
Vifupisho vingine sawa na caps
Baadhi ya watalamu wa afya hutumia neno ‘cap’, Cap au Caps na huwa na maana moja ya ‘caps’ endapo tu kuandika dawa
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
