top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
1 Februari 2026, 17:48:27
Catabolism
Catabolism ni neno tiba linalofahamika kiswahili kama Katabolizimu ni sehemu ya mchakato wa umetaboli inayohusika na uvunjaji wa kampaundi au molekyuli kubwa kuwa molekyuli ndogo. Katika hatua hii, mwili hutoa nishati kwa kuvunja:
Glukosi → kutoa nishati kwa seli
Mafuta → kutoa nishati iliyohifadhiwa
Protini → kuzalisha molekyuli ndogo zinazotumiwa na mwili
Katabolizimu ni muhimu kwa:
Kutoa nishati inayotumiwa na seli
Kudumisha shughuli muhimu za mwili
Kuandaa molekyuli ndogo ambazo hutumika baadaye kwenye Anabolizimu
Imeandikwa:
1 Februari 2026, 17:48:27
bottom of page
