top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

1 Februari 2026, 15:22:33

CD4

CD4

CD4 ni aina maalum ya chembe hai za kinga mwilini (T-helper lymphocytes) ambazo zinasaidia kuratibu na kuongoza mwitikio wa kinga dhidi ya maambukizi. Chembe hizi hutumiwa kama kipimo cha kutathmini nguvu ya kinga ya mwili. Kiwango cha CD4 hupungua pale mtu anapokuwa na maambukizi ya muda mrefu yanayoathiri mfumo wa kinga, na kupungua kwake kunaonyesha udhaifu wa kinga na hatari kubwa ya kupata magonjwa nyemelezi.

Imeandikwa:

1 Februari 2026, 15:20:25

bottom of page