top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 10:22:39

Cervical or endometrial polyps

Cervical or endometrial polyps

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Polipu ya seviksi" au "Polipu ya Endometriamu" au "Polipu ya shingo ya kizazi"


Polipu ya seviksi au endometriamu ni uvimbe mdogo wenye shina ambao unaweza kusababisha kutokwa na damu kidogo ukeni (wakati mwingine kama ute wenye damu ya waridi na usaha) baada ya kujamiiana, kusafisha uke kwa maji, au kujikamua wakati wa haja kubwa. Polipu nyingi za endometriamu hazisababishi dalili yoyote.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 10:22:39

bottom of page