top of page

Cheti cha dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

22 Julai 2021, 08:34:07

Cheti cha dawa

Cheti cha dawa maana yake nini?


Cheti cha dawa ni agizo la maandishi kuhusu dawa anazotakiwa kupewa mgonjwa kutoka kwa daktari aliyesajiliwa au kuruhusiwa andika agizo hilo kwenda kwa Mtoa dawa na hutambulika kisheria.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022, 14:59:29

bottom of page