top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 23:40:23

Chlamydial infection

Chlamydial infection

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Maambukizi ya klamidia"


Maambukizi ya Klamidia kwa wanawame. Maambukizi ya Klamidia kwa wanawake husababisha ute wa njano, mzito wenye usaha), usio na harufu au wenye harufu kali kutoka ukeni. Dalili nyingine ni pamoja na maumivu wakati wa kukojoa (dysuria), maumivu wakati wa kujamiana, na kutokwa na damu ukeni baada ya kusafisha ndani ya uke au baada ya kujamiana, hasa baada ya hedhi. Wanawake wengi hawaonyeshi dalili yoyote.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 22:59:53

bottom of page