top of page

Cipro

Mwandishi:

ULY CLINIC

31 Mei 2022 18:21:26

Cipro

Cipro ni nini?


Cipro ni kifupisho cha dawa Ciprofloxacin.


Ciprofloxacin ni ya antibayotiki katika kundi la Fluoroquinolones yenye uwezo mkubwa wa kuua bakteria jamii ya gramu hasi.Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Cipro ni dawa gani?, Cipro ni nini?, Cipro inatibu nini?, Cipro hutibu nini?, Cipro inatibu ugonjwa gani?, Cipro inaruhusiwa kutumika na pombe?, Cipro na pombe, Dawa ya Cipro, mjamzito anaweza tumia Cipro?, Cipro naitumiaje?, Cipro ni dawa ya nini?, Cipro inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Cipro kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Cipro, Cipro ina madhara?, Cipro hukaa muda gani mwilini?

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 14:35:15

bottom of page