top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Machi 2025, 13:00:35
Clitoral atrophy
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Kunyauka kwa Kinembe"Â au "Atrofi ya Kinembe".
Maana yake ni kudhoofika, kupungua ukubwa, au kusinyaa kwa kinembe kutokana na upungufu wa homoni, hasa estrojeni, jambo linaloweza kutokea kwa wanawake waliokoma hedhi au wenye matatizo ya homoni.
Imeandikwa:
29 Machi 2025, 13:00:35
bottom of page
