top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
1 Februari 2026, 17:08:23
Compound
Kampaundi au molekyuli ni kijenzi cha kemikali kinachoundwa na atomi moja au zaidi zinazoungana kwa muundo maalumu. Katika mwili, kijenzi hiki huchangia mchakato wa metabolism, ikijumuisha kuvunjwa kwa baadhi ya kijenzi kupata nishati au kutengeneza misombo muhimu kwa seli na tishu.
Mfano wa kampaundi / molekyuli mwilini ni:
Sukari – chanzo cha nishati kwa seli.
Asidi za amino – hutumika kujenga protini.
Asidi za mafuta – hutoa nishati na huchangia muundo wa tishu.
Imeandikwa:
1 Februari 2026, 17:08:23
bottom of page
