top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

11 Septemba 2026, 11:55:54

Cranial nerve

Cranial nerve

Ni neno lenye jina la kiswahili la Mshipa wa fuvu la kichwa — nomino


Hujumuisha Mshipa 12 ya fahamu inayotoka kwenye ubongo au shina la ubongo na kupita kwenye matundu ya fuvu la kichwa na kuhusika katika kazi kama kuona, kusikia, kunusa, kuonja, kusogeza macho, uso, ulimi na baadhi ya viungo vya ndani.


Wingi: Mishipa ya fuvu la kichwa


Kiingereza: Cranial nerve

Imeandikwa:

30 Machi 2025, 13:59:34

bottom of page