top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

24 Machi 2025, 19:53:21

Crohn’s disease

Crohn’s disease

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Ugonjwa wa Kroni"


Kwa maelezo zaidi, inaweza pia kuelezwa kama "ugonjwa sugu wa utumbo unaosababisha uvimbe na vidonda kwenye mfumo wa usagaji chakula, hasa kwenye utumbo mdogo na mkubwa".

Imeandikwa:

24 Machi 2025, 19:53:21

bottom of page