top of page

Dawa bora

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:40:13

Dawa bora

Dawa bora ni nini?


Dawa bora ni zile zilizofikia viwango vya ubora, usalama na ufanisi wa kitaifa na kimataifa. Dawa bora zina uwezo wa kufanya kazikutibu, kuponya au kutambua ugonjwa uliokusudiwa.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:04:41

bottom of page