top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 17:56:38
Dawa ngazi ya kwanza
Dawa ngazi ya kwanza mana yake nini?
Dawa ya ngazi ya kwanza katika matibabu ni dawa ya kwanza iliyopendekezwa kutibu tatizo fulani kutokana na tafiti na makubaliano ya nchi au taasisi fulani ya tiba.
Imeandikwa:
22 Julai 2021, 11:36:48
bottom of page
