top of page
Dawa za cheti
Mwandishi:
ULY CLINIC
22 Julai 2021 08:53:32
Dawa za cheti
Dawa za Cheti ni dawa ambazo mtoa dawa atazitoa kwa agizo la daktari kupitia Cheti cha dawa. Dawa hizi mara nyingi ni sumu kama zitatumika vibaya. Ni kosa la jinai kwa muuza dawa kutoa dawa bla cheti cha daktari.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:55:15
bottom of page