top of page
Dawa zisizohitaji cheti
Mwandishi:
ULY CLINIC
22 Julai 2021 08:56:47
Dawa zisizohitaji cheti maana yake nini?
Dawa zisizohitaji cheti ni dawa zinazoweza kununua na mgonjwa bila cheti cha daktari baada ya mtoa dawa kuridhika na tatizo la mgonjwa. Dawa hizi mara nyingi hazina sumu kali kama zitatolewa katika kipimo sahihi.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:54:02
bottom of page