top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
2 Aprili 2025, 15:35:15

Dermatitis
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Dematitis"
Dermatitis ni hali ya mwitikio wa kinga ya mwili kwenye vikereketa ngozi na kupelekea ivimbe, kuwa nyekundu, kujaa, na kuwa na muwasho. Kuna aina kadhaa za dermatitis, lakini kwa ujumla, hali hii husababishwa na mambo mbalimbali kama vile athari za uchafuzi wa mazingira, mionzi ya jua, au mwitikio wa mwili kwenye kemikali au vikereketa ngozi.
Imeandikwa:
2 Aprili 2025, 15:35:15
bottom of page
