top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 12:50:50

Endometrial atrophy

Endometrial atrophy

Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "kudhoofika kwa endometriamu" au "Kuonda kwa endometriamu" au "Atrofi ya endometriamu"


Atrofi ya endometriamu ni hali inayotokea wakati ute wa ndani wa mji wa mimba (endometriamu) unapungua unene na kuwa mwembamba kutokana na viwango vya chini vya homoni za estrogeni, hasa baada ya kukoma hedhi.


Sababu za Atrofia ya Endometriamu

  • Kupungua kwa homoni za estrogeni baada ya kukoma hedhi.

  • Matumizi ya dawa za kupunguza estrojeni, kama vile zile za kutibu saratani ya matiti.

  • Kuzeeka kwa kawaida kwa tishu za uzazi wa mwanamke.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 12:48:14

bottom of page