top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 14:45:07

Endometrial hyperplasia

Endometrial hyperplasia

Ni neno tiba lenye jina la ksiwahili la "Kukua kupita kiasi kwa endometriamu" au "Endometria Haipaplezia"


Endometrial hyperplasia kwa Kiswahili fasaha inaitwa Kuongezeka kwa seli za safu ya ndani ya kizazi. Hii ni hali ambapo seli za safu ya ndani ya kizazi (endometriamu) huongezeka kwa wingi zaidi ya kawaida.


Hali hii huweza kusababisha kutokwa na damu ambapo huanza mapema, inaweza kuwa ya rangi ya kahawia na kidogo au nyekundu na nyingi, na kawaida hutokea baada ya tendo la ndoa au kujisafisha ndani ya uke. Damu huendelea kuwa nyingi na mara kwa mara, ikiongoza kwa kuganda kwa damu na upungufu wa damu. Kutokwa na damu kunaweza kuambatana na maumivu ya tumbo la chini, utumbo, mgongo wa chini, na maumivu ya miguu. Kizazi kinaweza kuwa kikubwa.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 14:45:07

bottom of page