top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Machi 2025, 23:12:26
Endometritis
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Endometraitiz"
Endometritiz kutokana na uvamizi wa bakteria kwenye endometrium, mtu anaweza kupata ute mdogo mchanganyiko wa damu na majimaji meupe kutengeneza ute wenye harufu mbaya wenye mwonekano wa rangi ya waridi inayoelekea nyekundu. Dalili zinazoambatana ni pamoja na homa, maumivu ya mgongo wa chini na tumbo, kukaza kwa misuli ya tumbo, uchovu mkali, maumivu wakati wa hedhi, na kuongezeka kwa mji wa mimba.
Imeandikwa:
29 Machi 2025, 23:12:26
bottom of page
