top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

15 Februari 2026, 16:42:04

Epididymitis

Epididymitis

Epididymitis ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Epididimaitisi"


Epididimaitisi ni hali ya kitabibu inayotokea pale ambapo epididimisi (mrija uliopo nyuma ya korodani unaohifadhi na kusaidia kukomaza mbegu za kiume) hupata uchochezi kutokana na maambukizi ya bakteria au, mara chache, sababu zisizo za maambukizi. Uchochezi huu husababisha kuongezeka kwa mtiririko wa damu, kujaa kwa seli za kinga, na uvimbe wa eneo hilo, hali inayosababisha maumivu, uzito, na wakati mwingine korodani kuhisiwa kuwa ngumu. Inaweza kuathiri upande mmoja au pande zote mbili na wakati mwingine husambaa hadi korodani (epididimo-okaitisi).

Imeandikwa:

15 Februari 2026, 16:39:48

bottom of page