top of page
Falinks
Mwandishi:
ULY CLINIC
25 Julai 2021 08:16:51

Falinks ni nini?
Falinks ni neno lililotokana na neno la Kilatini Pharynx lenye maana ya 'koo'. Koo ni sehemu inayopatikana baina ya nyuma ya kinywa au matundu ya pua na juu ya umio au trakea.
Wingi wa neno falinks ni falinjes
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:45:40
bottom of page