top of page

Fomu ya dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:17:39

Fomu ya dawa

Fomu ya dawa ni nini?


Fomu ya dawa ni mwonekano wa kifizikia wa dawa, mwonekano huo unaweza kuwa;


  • Kidonge

  • Tembe

  • Maji ( maji ya matone, kupuliza n.k)

  • Uji

  • Unga au sirapu

  • Mafuta mgando

  • Mafuta ya kimiminika

  • Krimu

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:07:11

bottom of page