top of page
Gangrini kavu
Mwandishi:
Dkt Sospeter B, MD
15 Mei 2023, 14:00:57

Gangrini kavu ni uozo wa tishu kutokana na kukosa damu katika eneo hili lililooza na mara nyingi huwa kwenye vidole vya miguu au mikono. Awali sehemu iliyokosa damu huanza kuwa na maumivu makali yanayoambatana na kuvimba ambapo baadaye hupotea kisha ngozi huanza kubadilika rangi kuwa nyeusi na tishu kukauka na kuwa ngumu, kutoa harufu n.k
Gangrini huhitaji matibabu ya haraka la sivyo hupelekea kupoteza sehemu kubwa ya viungo.
Imeboreshwa,
15 Mei 2023, 14:21:18
bottom of page