top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
29 Machi 2025, 20:39:31

Genital warts
Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Sunzua sehemu za siri" "Maotea sehemu za siri"
Maotea sehemu za siri kwa wanawake ni vipele maarufu kwenye vulva vyenye umbo mithiri ya vipele vidogodogo vilivyoungana au kuwa kama upele mmoja mdogo Vipele hivi vinaweza kusababisha uke kutoa ute mwingi mithiri ya usaha uliochanganyika na ute, ambao unaweza kuwa na harufu mbaya endapo vipele vimepata maambukizi. Wagonjwa mara nyingi hulalamikia hisia za kuwaka moto au ganzi katika mlango wa uke.
Imeandikwa:
29 Machi 2025, 20:32:02
bottom of page
